WegoEvents logo

Kadi za mwaliko za kidijitali kwa harusi na birthday

Tengeneza kadi nzuri za mwaliko, kila mgeni akipata kadi yenye jina lake, na uzitume kwa WhatsApp ndani ya dakika chache. Hakuna kuchapisha, hakuna kusambaza kwa mkono.

Create invitationsTZS 2,000 kwa kila kadi

Inavyofanya kazi

  1. Pakia muundo wa kadi yako na weka taarifa za tukio.
  2. Ongeza majina ya wageni, au pakia orodha nzima kwa mara moja.
  3. Lipa TZS 2,000 kwa kila kadi kwa mobile money au kadi.
  4. Tuma kila kadi kwa mgeni wake kwa WhatsApp, na uone nani amethibitisha kuja.

Bei

TZS 2,000 kwa kila kadi. Kwa mfano, wageni 100 ni TZS 200,000. Unalipia kadi unazotengeneza tu.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Kadi moja ya mwaliko inagharimu kiasi gani?

Kila kadi ni TZS 2,000. Unalipa kwa idadi ya wageni wako tu, kwa mobile money au kadi kupitia Snippe. Ukiongeza wageni baadaye, unalipia kadi mpya tu.

Wageni wanapataje kadi zao?

Kila mgeni anapata link yake binafsi yenye kadi iliyoandikwa jina lake. Unaweza kuituma kwa WhatsApp moja kwa moja kutoka kwenye WeGo Events.

Naweza kutumia muundo wangu wa kadi?

Ndiyo. Pakia picha ya kadi yako, kisha weka jina la mgeni, maandishi na QR code mahali unapotaka.

Wageni wanaweza kuthibitisha kuja?

Ndiyo. Kupitia link ya kadi, mgeni anaweza kujibu kama atakuja, na wewe unaona majibu kwenye dashibodi yako.

Kadi zinafaa kwa matukio gani?

Harusi, send-off, kitchen party, birthday, mahafali, sherehe za kampuni na tukio lolote linalohitaji mwaliko.

Tayari kualika wageni wako?

Create invitations